WHO WILL CRY WHEN YOU DIE

 Siku Fulani Nilikuwa Nasoma Kitabu Cha Robin Sharma Kinachoitwa "WHO WILL CRY WHEN YOU DIE"


Moja Ya Nukuu Yake Niliipenda Sana Inasema... 


"When You Were Born, You Cried And The World Rejoiced. Live Your Life So That When You Die, The World Cries And You Rejoice"


Kwamba...Ulipozaliwa Ulilia Huku Watu Wakifurahi Kwa Sababu Ya KUJA KWAKO DUNIANI,


Ishi Maisha Katika Namna Ambayo Siku Utakayokufa Wewe Ufurahi Huku Wao Wakilia Kwa Sababu Ya PENGO UNALOENDA KUACHA Baada Ya Kuondoka Kwako





Comments

Popular posts from this blog

Genuine Personal Branding

ANGUKO LA MWANAUME