ANGUKO LA MWANAUME
Anguko la mwanaume huanzia hapa.
1. Anaposahau na kupotezea malengo yake eti kwa sababu ..he is in love!
2. Anapoamua kuvumilia dharau kutoka kwa mwanamke eti kwa sababu anampenda sana huyo mwanamke.
3. Anapoamua kuyapa kipaumbele mapenzi na kusahau familia iliyomlea na kumfikisha hapo alipo.
Comments
Post a Comment